Ukisikia Beberu ndio huyu!

Ukisikia Beberu ndio huyu!

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
halani kago.
 
Attachments

  • beberu.jpg
    beberu.jpg
    61.8 KB · Views: 579
hapo sijui na italiwaje sasa na wale sio penda kitungi yaani pombe..
 
huyu mbuzi wa Ukonga, anashinda kwenye mabaa kama nyau, yeye kazi yake ni kuomba bia, tena nasikia huwa hali nyasi, yeye zake chips
 
Mkuu Dotworld umetisha !!
Naomba unipe utaalam wa jinsi ya kukuza picha zitoke kama hivi, maana mimi huishia kuweka zikawa ndogo.
.
Jinsi ya kukuza image - Picha ndani ya JF

Mkuu Mu-Israeli unajua tatizo hizo picha huwa zipo kama attachment = hivyo huwa ni ndogo. Ila kama uki-move mouse kwenye picha ukaona ina-maximise na kuwa kubwa fuata haya maelekezo

Kwa Crome web browser fanya hivi --- (ingawa the same can be done kwenye browsers nyingine)

Point mouse kwenye picha hiyo ndogo .... subiri iload ili iwe picha kubwa - ikisha-load na kuwa kubwa - RIGHT CLICK hiyo picha kubwa alafu chagua "COPY IMAGE URL"

Ukisha-copy hiyo image URL ya picha kubwa iliyoload fungua sehemu ya ku-post mfano: "Reply to Topic" ... yaani kama unapost normal katika JF

Chagua ICON inayoitwa INSERT IMAGE

Ikifunguka pop-up window chagua "FROM URL"

Untick "Retrieve remote file and reference locally" == yaani ondoa tick hapo

Bonyeza OK - then post

Utakuwa tayari umeshamaliza.

Jaribu ukikwama niulize tena ntakufafanulia
 
Thanks !!
 
Back
Top Bottom