Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,558
- 21,066
Ndio yanaongoza duniaWatanzania tulaleni Mapenzi yatawaua
Dunia inaongozwa na pesaNdio yanaongoza dunia
Nani kakudanganya.....pesa ni za matajiri tu. Mapenzi hata kapuku anayamuduDunia inaongozwa na pesa
Nendeni mkaishi Bank kule zimejaaLife is all about money.
Kabisa maokotiLife is all about money.
Na wewe ukimwambia ummemiss, unakuwa umemiss nini hasa hasa?Kama sio Mke wako, whatever she think about you ni Pesa zako tu.
Atakutafutia sababu tu akupate.
Ukisikia anakwambia Baby nina hamu na wewe tutaonana lini? Basi My friend amemisi kukukwapua pesa zako baada ya kuona umejikalia kimya.
Watch your Money usija kubaki unalaumu serikali kwa maisha magumu
Hapo ni kutelezaNa wewe ukimwambia ummemiss, unakuwa umemiss nini hasa hasa?
Life is all about love but good life is all about money.Life is all about money.
Ujue unataka kuliwaAu sms umetmiwa baby naumwa..
Atakwambia hajisikii vizuriAkikuomba hela na wewe muombe uchi. Hakuna hela ya bila kutolea jasho
HahahahaHapo ni kuteleza
Au nimesema uongoHahahaha
Akamwombe baba yakeAtakwambia hajisikii vizuri
HeheeAkamwombe baba yake
Mwenye jukumu la kumhudumia ni yule anayetumia surname yake
Ambaye kama hajaolewa ni baba yake kama kaolewa ni mume wake