Kaizer nilikuwa najitahidi Kweli kuulewakumbe ujumbe huu wa ladyfurahia .ni wawatu maalum.....
Dah! Nimetoka kapa kabisaaaaaaa
binamu kinyama cha hamu....kwanini nisiupende...?hata wee wakuhusu vilevile kwani huupendi binamu
binamu kinyama cha hamu....kwanini nisiupende...?
hata kidogo.....Ndio maanake mkuu.....usiumize kichwa
pamoja binamu....Nilifikikiri haujaupenda na kusema ni wa wengine wakati ni wamarafiki zangu wote humu mjengoni
halafu kaizer anataka makubwa hapa besti si kawataja wale watu maarufu nchini Tanzania?
Laiti ungejua unakuhusu wewe usingesema hivyo au kuwamentiona hao chini yako
Kuja PM chap chap sana
Huyo mtawa ni anaza levo kaka weka mbali na waumini!lol
WALA HAUJATOKA KAPA BESTITO MBONA UJUMBE UNAELEWEKA KIRAHISI SANA
NA WALA HAUJAJIFICHA KAMA :A S wink:
WALA HAUJATOKA KAPA BESTITO MBONA UJUMBE UNAELEWEKA KIRAHISI SANA
NA WALA HAUJAJIFICHA KAMA :A S wink:
Good Morning My man.......
Ufalme wangu sio wa hapo....
Morning mke wetu!
Isidingo inaboaje siku izi!