Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
usijali mie nitamuelewesha huyu Nicas Mtei wala usipate shida bestito
Afadhali unieleweshe wewe Mama Kijacho maana nlihisi may be ubongo wangu haupo
usijali mie nitamuelewesha huyu Nicas Mtei wala usipate shida bestito
duh! hapo ndo naendelea kuingia chaka zaidi yaani
Afadhali unieleweshe wewe Mama Kijacho maana nlihisi may be ubongo wangu haupo
Isidingo siku hizi inaboa hata hakuna jipya la maana.....
halafu I miss you deadly
huo ujumbe we hujataka kuuelewa Baba kijacho ila mbona unaeleweka sana
Isidingo siku hizi inaboa hata hakuna jipya la maana.....
halafu I miss you deadly
yaani nini tena
sasa kama inaboa wewe nami tutaiangaliaje?
I miss you sana mke wetu...
Nikipata nauli nitakuja kukujulia hali!!!:usa2:
we acha tu Mama Kijacho. njoo unieleweshe
tutaangalia ikianza kunoga sa hivi hatuta ifurahia
I miss you sana mke wetu...
Nikipata nauli nitakuja kukujulia hali!!!:usa2:
nakujachap chap sana.andaa vitendea kazi tu
Nlipoelewa mimi ni hapo palipoandikwa "Ukishika Shikamana" bhaaassssss
mama kijacho nae anakwambia amekushika nawe yakubidi ushikamane
vyote vipo. kazi kwako
Ntashikamana mwanzo mwisho
Wewe na nani?
uje tu My man..........
nahisi nikikuona itakuwa nusu ya mie kupona
upele umemkuta mkunaji leo utaelewa saana ashukuriwe alieweka hii thread tu
hahahahaha huitaki fursa hiyo?