Ukishiba mshukuru Manani

Ndio maana sisi waislam katika nguzo tano funga ni mojawapo.nini hasa dhumuni la kufunga kushinda na njaa na kiu jua linapochomoza hadi lizame ndo ule??ilihali we una kipato na ni tajiri??unaamrishwa kufunga ili walio katika njaa na wasiokuwa na uwezo wa chakula uende nao sawa.pia shibe huleta jeuri unapokuwa umefunga huwezi kuacha kumsaidia mtu pia unakuwa na adabu ht kwa maskin.chezea njaa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…