Ukishazaa tu ndo ujiachieee

Kwanza wew mwanaume ni mbinafsi sanasana...muhurumie mwenzio anachoka sana kwa kipindi hiki...hizo shughul fanya mwenyewe acha undez...na labda hapendi kuvaa braa koz maziwa yamekua makubwa kwa sasa koz ananyonyesha kama vip mnunulie nyingine kubwa na muda unaenda kuoga uwe unaenda oga nae...mtafutie housegirl amsaidie ili muda mwingi apumzike ata recover mapema na mtaendelea kuinjoi hapo badae kidog....na uache kufikiria kuchepuka
 
Wiki mbili tangu ajifungue! Halafu unalalamika amejaichia,eti hadeki sijui hapiki vizuri...hv ww unaijua shughuli ya kujifungua ilivyo na malezi ya mtoto mdogo. Ht huo mgongo amepona saa ngapi hd aweze kuinama kudeki na kukaa kukupikia vzr.
Kwanza unamuonea,ww ndio ulitakiwa ufanye hizo shughuli au km vp umtafutie msaidizi tofauti na hapo lazima badaea ataugua sn kwsbb ameanza kufanya kazi mapema sn.....watu tulikaa miezi 3 ndio tukaanza kufanya kazi sembuse ww wako huyu wiki mbili tu malalamiko hd jf!
 

Yaan sijui ni janaume gn hili lisilo na huruma. Na huyo dada anatakiwa apumzike ht miezi 2 hv,kazi yake iwe kula na kulea mtoto tu. Mpishi wa matembele na mambo mengine awe mtu mwingine.
 

Yuko busy ananyonyesha msaidie kupika tembele
 
Heheheeiya..wanaume suruali wengi sana mjini...
 

umetisha baby loh
 
kulea si kazi ndogo.wanaume wengi hamjui tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…