"Ukishangaa ya Mussa subiri ya Firauni"

KAPONGO

JF-Expert Member
May 29, 2009
1,661
668
Waungwana naomba kufahamishwa falsafa ya msemo huo ( ama unaofanana na hao) ambao nimekuwa nikiusikia sana lakini sifahamu chimbuko na historia yake ni nini hadi kuwa na umaarufu huo!
 
huo msemo umetokana na biblia pia upo na kwenye kuluani unahusisha pale mussa alipokuwa anafanya miujiza kwa uweza wa mungu na waganga wa firauni nao wakawa wanafanya miujiza kwa uweza wa kishetani so ukistaajabu ya mussa utaona ya firauni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom