Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 601
- 269
Wana -JF kuna tetesi kua kamati kuu ya chama cha mapinduzi imeitaka kamati ya maadili ya chama hicho kuwahoji Jaji Warioba na Mzee Butiku juu ya mienendo yao ya kua kinyume na mapendekezo ya CCM na serikali katka suala la katiba.
Hoja yangu iko hapa
Kwa nini wasimuhoji kwanza bwana Kinana??ambae amekua mkosoaji mkubwa wa ccm maana kila jukwaa akipanda lazma aje na jipya mara ccm ni wala rushwa mara sisiemu sisi wajinga??au kinana yupo juu ya sheria za chama hiki na kinana sasa hivi anawakilisha chama gan maana anawasema sana ccm!!
Nawasilisha..