Ukisadiwa kumbuka kushukuru

Ukisadiwa kumbuka kushukuru

Nyie endeleeni kususa kwa 'Hatuchezi'..

Mnairahisisha njia ya Simba kupiga 'treble'.....
Ya NBC,CRDB FA, na CAF CC...

Ubaya Ubwela..!

'Berekane' ndani ya bongo Lazima aambulie Kipigo cha Umbwa.! Iwe ZNZ au Kwa Mkapa......akamuulize Almasry ni kilimtokea..!
 
Kuna mtu nimempa backup kubwa sana ila akaishia kutuma text “ thanks”.
Single mother are for the reason, stay away
Mkaushie... shida zina tabia ya kutukutanisha... atajichanganya tena....
 
Zimo kweli mkuu????
Au tatizo la Afya ya akili???

Acha upumbavu
Pia unapotosha.
Mwamposa alialikwa uwanjani kama mgeni.

Usitegemee miujiza kwenye maisha
Fanya kazi
 
1. Mama samia
2. Tatu Malogo
3. Kepha Kayombo
4. Japhet Smart
5. Shomary Lawi
6. Wallace Karia
7. Bodi ya Ligi
8. Wazee wa timu
9. Mbuzi wa kafara
10. TFF
Hawa nao wanasubiri shukrani kwa hamu kubwa.
 
Nchi ya kipumbavu ya watu wapumbavu kuamini kwenye mpira unaweza kusaidiwa na manabii wa mchongo. 🚮
 
Nyie endeleeni kususa kwa 'Hatuchezi'..

Mnairahisisha njia ya Simba kupiga 'treble'.....
Ya NBC,CRDB FA, na CAF CC...

Ubaya Ubwela..!

'Berekane' ndani ya bongo Lazima aambulie Kipigo cha Umbwa.! Iwe ZNZ au Kwa Mkapa......akamuulize Almasry ni kilimtokea..!
Hizi nikama Hadithi za kiswahili
 
Back
Top Bottom