Kinyozi wake ana roho mbaya sana!
Kwann mkuu???
Kinyozi wake ana roho mbaya sana!
ahahah hata huo muda wa kuvaa shati anaoUsicheke! Hii hatari sana! Ya kufanya mtoto, afanya huyu mtu mzima!
Maskini shati sijui kaacha wapi?
Kinyozi wake ana roho mbaya sana!
huyu atakuwa msukuma lazma
Haaah haaaa! kyalankota, ujue Le-Mutuz anatuita uncle, si ni mdogo wa the late Ipyana Malecela? Ughonile nkamu?Akina Le mutuz wapo wengi kumbe!
Haaah haaaa! kyalankota, ujue Le-Mutuz anatuita uncle, si ni mdogo wa the late Ipyana Malecela? Ughonile nkamu?
heri ya mwaka mpya
ahaha kwa nini
Sa ndio kamnyoaje?
namshukuru Mungu heri na ww pia mkuu
aliponyolewa akawa na haraka ya kuendesha gari lake
Kwa kweli!