chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Jamaa kajisahau km alikuwa anachomeka mwenyewe
Ngoja niiweke kiswahili tucheke wengi, (japo kunawatakao jifanya walishaelewa bila ya msaada wangu )"kwahiyo siku zako huzioni na unadhani mimi nimezificha hapa nyumbani kwangu" ?????????????

Acha ujinga wewe watu wame-coment wewe unasema "watakaojifanya wameelewa bila msaada wangu". Kwa kiingereza gani hasa. We mwenyewe umekopi ukapesti, ACHA MASHAUZI.
Mbona umetumia nguvu nyingi sana, kwani ungepita kimya ungepata mimba????????