Ukipewa utawezaa we kibabuu,,

Wanasema roho haizeeki, ila atafia hapo hapo kifuani.
 
Ng'ombe hazeeki maini:crazy:Babu kama kayavulia nguo hayo maji lazima uwezo wa kuyaoga anao tuuu!!! Keep it up BABUUU....
 
Vizee kama hivi ni balaaa, kinaweza kwenda hata goli tatu bila kupumzika. Ukija kuangalia aliyekuwa anamuliza ni kiji babu
 
Vizee kama hivi ni balaaa, kinaweza kwenda hata goli tatu bila kupumzika. Ukija kuangalia aliyekuwa anamuliza ni kiji babu
Wazee kama hawa walikula vyakula vya asili ni kiboko sio kizazi hiki cha chips/mayai akipiga kimoja tu hoi.
 
The last thing that remains for an oldman is always functioning as long as he is healthy! Mpe uone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…