ukipewa nafasi ya kuwa mod.

ipatama

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
348
228
mi ningepewa nafasi ya kuwa mod angalau kwa dakika kumi tu, kitu cha kwanza kukifanya ni kuwapiga ban wale pro lumumba wooote wakiongozwa na barafu ya moto na MOTOCHINI.

Je wewe ukipewa nafasi ya kuwa mod ni kitu gani cha kwanza kukifanya?
 
Back
Top Bottom