El west
Member
- Dec 28, 2018
- 35
- 115
Kweli mkuu, niko na mwanamke ambae nilidhani nitamuoa na alijua hilo but nikajashtuka Kama nalazimisha hisia juu yake japo ananipenda sanaKumuelewa na kumjali mwanamke ambae humpendi ni kujidanganya aiseeh; yeye atafikiri unafanya hivyo kwa sababu umeshaanza kumpenda kumbe wewe unafanya hivyo ili usimuumize!! hapo ndo unazidi kulikoroga kwa sababu some days utachoka kumfanyia ivo kwa sababu humuelewi yani ile siku ukichoka kumfanyia ivo thats where the troublesome begin....
Mkuu; Kumcare mtu ambae sina malengo nae yoyote just for the purpose ya kutokumuumiza, i did it once na siku nilipochoka (kwa sababu lazima uchoke tu si haumpendi!!) you know what i found?? It was chaotic, catastrophic!! Kama nisingenotice mapema kama ameshakunywa sumu na kumuwaisha hospitali maanake today ingekua different story.
MY TAKE: Ukipendwa na mwanamke ambae humpendi cha kwanza umwambie tena iwe MAPEMA sana then usimjali kiivo kwa sabu atafikiria possibly umeshachange your mind na kuanza kumuelewa which is not.
Majuzi nilimchana laivu kwamba siko tayar kuoa na nisimpotezee muda ye achek ustaarabu wake!! Naona km hataki kukubaliana na ukweli
