Ukipata zero ya 35 means umepata F zote Hizo F 7 maana yake ni Form Four Fighting For Food For Four Years

Mtu wa Hovyo kwa ninavyojua ni Mtu anayependa kuendeleza Mijadala ya Hovyo. Kama toka jana hadi leo bado unataka kumjadili makonda na Piere basi ni wazi we ni mtu wa Hovyo.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
We jamaa utakua unasoma vitabu sana mtanzania wa kawaida hawezi kuwaza hivi hata siku moja big up
 
Ukipata zero ya 35 means umepata F zote. Kama ulikua unasoma masomo 7 (NECTA minimun requirement) means una F 7. Hizo F 7 maana yake ni Form Four Fighting For Food For Four Years. Hiyo ndio ZERO ya 35. Yani medula haikuambulia kitu. Hata lugha ya taifa ni apeche alolo. Subhanallah. Inabidi taifa tuunge mkono juhudi za DC Jokate Mwegelo za kutokomeza zero Kisarawe na maeneo mengine ya nchi. Form Four Fighting For Food For Four Years. #TokomezaZero


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonaje Mkuu ukaanzisha uzi mwingine kuhusu Pierre Liquid kuwatusi Wana habari.
Tutakuja kuchangia

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
Halafu hakuwatusi aliambiwa unaonekana una furaha muda wote hebu jalibu ku act kama una hasira ndio akaongea maneno yale sasa watu wakakata kipande wakaanza kumchafua nacho
 
kuondoa jilo kazi ngumu sana. siyo suala la kisiasa. huwezi kuondoa jilo kama mazingira ya kufundisha na kujifunzia ni haya haya tunayoyaona. Tunatakiwa kama taifa kuwa na utayari wa kuwekeza katika kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia na hili linahitaji uwekazi mkubwa na utayari wa Taifa katika hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom