Ukipata zero ya 35 means umepata F zote Hizo F 7 maana yake ni Form Four Fighting For Food For Four Years

Ukipata zero ya 35 means umepata F zote. Kama ulikua unasoma masomo 7 (NECTA minimun requirement) means una F 7. Hizo F 7 maana yake ni Form Four Fighting For Food For Four Years. Hiyo ndio ZERO ya 35. Yani medula haikuambulia kitu. Hata lugha ya taifa ni apeche alolo. Subhanallah. Inabidi taifa tuunge mkono juhudi za DC Jokate Mwegelo za kutokomeza zero Kisarawe na maeneo mengine ya nchi. Form Four Fighting For Food For Four Years. #TokomezaZero

🏃🏃🏃🙊🙊🙊
 
Enzi hizo hiyo tulikua tunaita
Full Fit Fighting For Food For Four Years
 
Mtu wa Hovyo kwa ninavyojua ni Mtu anayependa kuendeleza Mijadala ya Hovyo. Kama toka jana hadi leo bado unataka kumjadili makonda na Piere basi ni wazi we ni mtu wa Hovyo.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Sikumsikia akisema chochote wala kuja na Strategy yeyote kuhusu kutokomeza zero zaidi ya kumtukana Pierre

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
Unajuaje labda kazi rasmi aliyoitiwa pale ni kumtukana huyo jamaa. Huyu Piere Liquid naye ni "zero brain" vilevile. Kuna clip alisikika akitumia maneno kama ya mheshimiwa kuwadhalilisha wanahabari.
 
Mtu wa Hovyo kwa ninavyojua ni Mtu anayependa kuendeleza Mijadala ya Hovyo. Kama toka jana hadi leo bado unataka kumjadili makonda na Piere basi ni wazi we ni mtu wa Hovyo.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Wewe ni fala, huwezi kumpangia mtu kitu cha kupost na kujadili humu. Ziro ya taifa inajadiliwa tu muda wowote.
 
Unajuaje labda kazi rasmi aliyoitiwa pale ni kumtukana huyo jamaa. Huyu Piere Liquid naye ni "zero brain" vilevile. Kuna clip alisikika akitumia maneno kama ya mheshimiwa kuwadhalilisha wanahabari.
Unaonaje Mkuu ukaanzisha uzi mwingine kuhusu Pierre Liquid kuwatusi Wana habari.
Tutakuja kuchangia

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom