Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,676
Wee ukipata hela nitafute nikupeleke chimbo ukaliwazweniko sikonge bar gani ina madem?
Bujibuji umetisha.Wee ukipata hela nitafute nikupeleke chimbo ukaliwazwe
Sio Paloma peke yake, na Madame B na Mamndenyi pia.
Ila kwenye mwaliko huu Mwita Maranya na mwaJ hawahusiki
mi sina tabia ya kummwaga binadamu mwenzangu, kazi ni kwakobujibuji jamani daaah
nitakutafuta unipeleke kanisani,
angalia tu usinimwage kama dogo mmoja alivyonifanya majuzi,
kweli una mambo
ila usilewe ukasahau kuvaa buti wakati mnalima
ila usilewe ukasahau kuvaa buti wakati mnalima