green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,337
- 35,887
Nabaki street skillsAlbert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani...
Nabaki street skillsAlbert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani...
Yanga,simba,mangekimambi, ,miso misondo,pombe na wanawakeAlbert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani...
Tangu nianze kusoma post zako, hii umetumia akili kubwa zaidi na umejibu swali muhimu zaidi,shukrani kwa hizi nondo.Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani...
Tangu nianze kusoma post zako,hii umetumia akili kubwa zaidi na umejibu swali muhimu zaidi,shukrani kwa hizi nondo.
Ulivyoandika Kwa kujiamini utafikiri ni kweli Elimu Bora ndio inafanya watu kuwa wagunduzi mbona tuna watanzania kibao wamesoma huko kwenye Elimu Bora China,ulaya na Marekani mbona hawajagundua kitu chochote Wapo wapo tuAfrica tunakosa elimu bora ndio maana tunaona elimu haina faida. Wachina wamewekeza kwenye elimu bora leo wanaongoza kwa ubunifu..
Mungu akubariki sana!Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani...
✅🙏🙏🙏Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani...
Kwa hio ELIMU DUNI ndio inazalisha wagunduzi?Ulivyoandika Kwa kujiamini utafikiri ni kweli Elimu Bora ndio inafanya watu kuwa wagunduza tuna watanzania kibao wamesoma huko kwenye Elimu Bora China,ulaya na Marekani mbona hawajagundua kitu chochote Wapo wapo tu
Ugunduzi sio swala la Elimu kubwa au ndogo ni kichwa Cha mtu mwenyewe hakuna shule Wala chuo duniani kinachofundisha ugunduzi hakipoKwa hio ELIMU DUNI ndio inazalisha wagunduzi?
Naomba mfano wa nchi yenye elimu DUNI inayozalisha wagunduz na unitajie hao wagunduzi. Nimekuwekea mifano dhahiri nawe ni vyema u geweka mifano dhahiri inayopinga hoja yangu.
Awa awakumaliza Shule lakini ngunduzi zao wanasoma watu wanazisoma, Hina maana kwamba Elimu Haina maana zaidi ya akili. Swali waliomaliza Shule wamengundua nini ?Mshena.
Mark Zucker berg
Bill gate
Steve Job
Arthur Altman
Nk
Hawa watu wamesoma ila hawakuhitimu.
Drop out ni msomi.
Jedwali la sensa ka mwaka 2012.
Liliuliza ngazi ya elimu.
Form one
Form two
Firm three
Form hour
Nk
Ilitakiwa utiki alipoishia mtu.
Hii ina maana kwamba hata kama uliacha drs la4 una elimu.
Akina bill gate ni college drop out. Ikumbukwe wana elimu ya kujisomea nyumbani na kwa wataalamu au vitendo "apprentship skills"
SWALI LETU AU HOJA IWEKWE VIZURI BADO INA CHANGANYA.
Misingi ya ugunduzi ktk karne ya 21 inazingatia elimu.Ugunduzi sio swala la Elimu kubwa au ndogo ni kichwa Cha mtu mwenyewe hakuna shule Wala chuo duniani kinachofundisha ugunduzi hakipo
Kwa hoo kama hukumaliza shule hujasoma.Awa awakumaliza Shule lakini ngunduzi
Hawa watu wamepata akili kwa njia za kujisomea na vyanzo mbali mbali Hawakuwa kama MASAI wa UBARUKU.Icons wa Sayansi kama Isaac Newton, Galileo Galilei na Archimedes of Syracuse hawakuwa na elimu yoyote ya cheti, diploma wala degree, lakini walikua na AKILI. Ugunduzi wao mpaka leo unaiongoza dunia.
Maoni yamepokelewa asante sanaMshana title yako ingefaa iwe hivi
"Elimu ya darasani si lolote dhidi ya Elimu ya nje ya darasa."
Baada ya kupitia maoni mengi naona title inafaa iwe hivyo.