Ukiondoa DINI kila kitu ni siasa so usishangazwe na kilichotokea Arusha!

Kimsingi wewe na huyo niliyemjibu mna uwezo mdogo wa kupambanua mambo au mnafahamu lakini lengo ni kupotosha umma. Katiba ya nchi yetu imetenga shughuli za siasa na jeshi. Yaani hutakiwa kuwa mwanasiasa na wakati huohuo ukawa mwanajeshi hilo halikubaliki. Kama hili linatekelezwa ama la ni jambo lingine na tunapoona halitekelezwi ndio tunatokea kama sisi tusiogopa smg tunasema. Kupiga kura sio siasa bali ni haki ya kila raia wa nchi hii aliyetimiza umri wa kupiga kura anarusiwa kupiga kura. Kilichotokea jana ni kosa kikatiba kwani mahafali ya jeshi haikupaswa kunajisiwa kwa kupokea wanachama wa chama cha siasa. Lile ni kosa hata kama hakuna hatua zitakazochukuliwa lakini linabaki kuwa kosa tena la dhahiri.
Umesema vyema sana . .

Bahati mbaya sana, ktk nchi hii kwa sasa, HAKUNA mwenye uwezo au uthubutu wa kumwambia ukweli MHALIFU mkuu anayeisigina Katiba yetu mchana kweupe . . !

Mihimili yote mikuu miwili iko mifukoni mwake . .

Ma Raisi wastaafu wamekatazwa KUWASHWA WASHWA . .

Wenye uthubutu wa kumkemea ni CDM, TAML, na Mange Kimambi . .
 
Back
Top Bottom