bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Ukiona mtoto
unamtuma dukani harafu
harudishi chenji ujue Ukubwani atakuwa
mhudumu wa baa ni jambo jema mtie
moyo .
Ukiona mtoto anapiga wenzake ujue huyo
ni Fransis Cheka wa baadae ni jambo jema
mtie moyo.
Ukiona mtoto unampeleka shule za
gharama lakini kichwani bado mbulula
ujue ukubwani atakuwa mchezaji wa Taifa
Stars ni jambo jema mtie moyo .
Ukiona mtoto anakuwa muongo mwizi wa
mboga jua ukubwani atakuwa kada wa
CCM usimtie moyo piga sana charaza
viboko.
Endelea.....kama umeipenda...
Ukiona........
unamtuma dukani harafu
harudishi chenji ujue Ukubwani atakuwa
mhudumu wa baa ni jambo jema mtie
moyo .
Ukiona mtoto anapiga wenzake ujue huyo
ni Fransis Cheka wa baadae ni jambo jema
mtie moyo.
Ukiona mtoto unampeleka shule za
gharama lakini kichwani bado mbulula
ujue ukubwani atakuwa mchezaji wa Taifa
Stars ni jambo jema mtie moyo .
Ukiona mtoto anakuwa muongo mwizi wa
mboga jua ukubwani atakuwa kada wa
CCM usimtie moyo piga sana charaza
viboko.
Endelea.....kama umeipenda...
Ukiona........