15. Ukiwa unaongea sana na kwa sauti ya juu kwenye Dalala,Bar,darasan na sehem zote za mikusanyiko ya kistaarabu.
16.Kuwa wa kwanza kutoka na wa mwisho kurudi nyumbani kwako kuliko watu wote mtaan kwako.
17.Ukiingia chooni unakuwa na wasiwasi sana juu ya utupu wako na una hisi kama kuna mtu ana kuchungulia,nakuficha kwa bidii sehemu zako nyeti kwa bidii.
18.Kwa matajiri, Nje ni msafi kweli kweli ila ndani uko very mess
Sent from my BlackBerry 9780using JamiiForums
sifa zote mi ninazo,inabidi niendeleze kipaji
ngoja nianze kuwaroga humu ndani!!
Mkuu jihadhari asee! Itabidi uongeze nguvu kimaombi, na mwakasege yupo around mitaa hii ya kwetu huku hebu hudhuria. Salama lakini?
Mtoa MADA Kingmairo inaonekana vigezo vyote hivyo unavyo, maana aisifiaye mvua imenyesheshea. Mtu anajijua mwenyewe aisee. Hongera!