Ukiona umeenda zaidi ya 3

Wanawake hawafanani wengine unamchpa kimoja yupo Hoi afu Kuna hizo sex machine usijiroge ukakichapa kimoja imekula kwako hio
 
Bila presha mkuu, umeokoa taifa. Tusije tukapigiwa mzigo na katibu mkuu halafu tukaishia kuhonga na gari juu.
 
Mapenz ya mbali yamenishinda bora uwe single
Yana changamoto sana. Unajua huyu ni demu tu sasa wakati mwingine naona kabisa ana nyege ila ndo tuko mbali. Anavyozimaliza anajua mwenyewe

Nikawa najiuliza hivi hawa wenye ndoa na wanaishi mbali mume mkoa mwingine na mke mkoa mwingine, naona hapo hamna ndoa. Mapenzi ya mbali ni usanii tu
 
Kabisa,ni wiz mtupu
 
Tanzania imebarikiwa kuwa na wachambuzi wa Mpira wengi, wachambuzi wa kufikisha wanawake kileleni wengi kuliko nchi yoyote duniani, pia ni nchi pekee duniani ambayo rais wake anasema vijana wasile chips ili kujikinga na upotevu wa nguvu za kiume. Kaaazi kweli kweli
 
story za vijiweni
Kuna siku nilifanya grinding sex na demu wangu na tukaridhika wote wewe unaleta hizi story

Sex inahitaji utulivu wa hali ya juu sana
Grinding ni kusaga ,kwahy unasagana wee jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…