Ukiona teuzi zote muhimu zimekupita ujue wewe........

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,697
kama kusoma hujui hata kuangalia picha huwezi. babu yako hakushiriki kupigania uhuru wa nchi hii ndio maana teuzi zote zinakupita. wakati wazee wenzake wanaandamana kwa ajiri ya kumpiga mkoloni babu yako anachukua mbwa kwenda kuwinda sungura. usiilaumu serikali kwa kutokukuona mlaumu babu yako kwa uwoga wake . Babu yangu angekuwa hai ningemuuliza aliogopa nini kupambana na wakoloni na kujipatia umaarufu mkubwa kama wenzake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom