Ukiona SMS hii ujue ni Tapeli!!!!

Ukiona SMS hii ujue ni Tapeli!!!!

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,133
Dear student,in order to continue receiving loan from HESLB you have to pay 20,000/= your information are not seen from the board after loan update.So we need to make the follow up to your University,this money will be transport costs,meal and other accommodation for the one concerned pay through this number or 0763264878 if you use this number to pay forward the sms to 0762348785 for confirmation.If you need to call pay first then you call in order to get feedback about your
 
Pamoja ni hii alert, bado natabiri kwa hawa wasomi wetu wa siku hizi, hasa hawa wa Facebook, instagram, na wale wanaondika "xa" badala ya "sa" , "akuna" badala ya "hakuna", "y" badala ya "why" , n.k hela zao zitaliwa na hawa wajanja vibaya sana.
 
Huwa naboreka sana unakuta dume zima eti xafi xhwari?¿¿?
 
Pamoja ni hii alert, bado natabiri kwa hawa wasomi wetu wa siku hizi, hasa hawa wa Facebook, instagram, na wale wanaondika "xa" badala ya "sa" , "akuna" badala ya "hakuna", "y" badala ya "why" , n.k hela zao zitaliwa na hawa wajanja vibaya sana.
ohaaaaaaa umetishaa mkuuu duuuu hiyooo kalii eti wasomi wa facebook
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Back
Top Bottom