Labda tugeuze swali, je ni kwa nini sehemu inafichwa?
Sina hakika unapata nini hasa! Lakini I can bet, wanaume wengi wangependa kuangalia!.
Its so strange, najaribu kujiuliza hivi nikiona mwanamke (sio ndugu yangu kwa mfano) kakaa uchi kwa bahati mbaya, je ntaendelea kuangalia/au kutaka kutizama vizuri zaidi? Kwa nini? Sina jibu la haraka.
what happens to the opposit side of it..............
ingekuwaje wanaume nao waonyeshe nyuchi zao......je wanawake wangejazana kulipa kiingilio wapate kuona.......?
angekuwa ndugu yako je?
thanks mkuu...nimekupata!Kama ni ndugu yangu (say Mama, dada etc) jibu ni hapana...huwezi angalia mara mbili!
hapo tu bi kmubwa nakubishia aiseee!ahhh nyie hamna mvuto ata kdgooooooooooo....mkivua nguo mnatishaaaaaaaaaaaaaaaaaa hasa wewe bacha...ole wako univulie tena nguo km jana....ntakugechaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!1
what happens to the opposit side of it..............
ingekuwaje wanaume nao waonyeshe nyuchi zao......je wanawake wangejazana kulipa kiingilio wapate kuona.......?