Ukiona mwanamke anaikataa ndoa jua yamemfika hapa!

Learn to move on...

Wanaume wa jf wako perfect sana

Huu uzi ungekuwa wa mwanaume!!
Ila asilimia kubwa ya wanaume waliotoa comment za kumkejeli na kumtukana huyu bibie kwenye huu uzi wamenisikitisha sana.
Hata kama mkeo ni mbwa kiasi gani, hakuna justification ya kushindwa kuwahudumia watoto wako na uwezo unao.
Huyo ni mwanaume asiejielewa.
Kosa la huyu dada ni kuvumilia huo ujinga for 12 years, na kubeba majukumu ya huyo mpumbavu. Na ninahisi amemsitiri tuu hapa, kuna uwezekano huyo mwanaume alikua ana matatizo pia kwenye upande wa tendo la ndoa, maana hizo characteristics alizozitaja ni typical kwa wanaume wenye hayo matatizo.
Pole sana mdada naina19, move on with your life, do your best to make sure your kids grow well.
 
Ila asilimia kubwa ya wanaume waliotoa comment za kumkejeli na kumtukana huyu bibie kwenye huu uzi wameniaikitisha sana.
Hata kama mkeo ni mbwa kiasi gani, hakuna justification ya kushindwa kuwahudumia watoto wako na uwezo unao.
Huyo ni mwanaume asiejielewa.
Kosa la huyu dada ni kuvumilia huo ujinga for 12 years, na kubeba majukumu ya huyo mpumbavu. Na ninahisi amemsitiri tuu hapa, kuna uwezekano huyo mwanaume alikua ana matatizo pia kwenye upande wa tendo la ndoa, maana hizo characteristics alizozitaja ni typical kwa wanaume wenye hayo matatizo.
Pole sana mdada naina19, move on with your life, do your best to make sure your kids grow well.

Asante sana Dr. Wansegamila
 
Pole sana dada, au niseme ndio maisha yalivyo wakati mwingine.

Nadhani wewe ni mtu mzima na umewajua wanaume kwa muda mrefu, mara nyingi sana tena sana mwanamume hajawahi kutosheka na mwanamke mmoja . Kosa kubwa sana kwa bro ni kutokuijali familia au kutoitunza familia.
 
ukiona mada inapingwa sana ujue ni ya kweli hivo wanaompinga na kumponda mtoa mada ujue na wao hiyo ndo tabia yao hivo wanajihisi kuvuliwa nguo mchana kweupeee

Ni kweli kabisa Me too Ila mimi nawashauri kama kuna wanaume wanaishi na wake zao kama ilivyokua kwangu waache kwani sisi wanawake tuna upendo na uvumilivu sanaa ila huwa tunachoka, na tukichoka inakua basi tena

Kama kuna wanawake wanapitia hiki nilichopitia ushauri mwingi umeshatolewa mimi niwaombe tuu msiache kupambana kutunza watoto. Hata baba yao akikutesa vipi pambana kulea watoto wako kimwili na kiroho pia kwani uliwaleta duniani wewe na kuwalea ni wajibu wako
 
Does it matter to most women? Have you realized that women are sole purpose of breaking up!
Hamna watu wanapenda ndoa kama wanawake
Na hamna watuwasojua kuthamini ndoa ka wanaume

Ss sikuhz ni km viceversa hivi
Wanawake nao wameona km mbwai iwee ......
 
Pole sana dada, au niseme ndio maisha yalivyo wakati mwingine.

Nadhani wewe ni mtu mzima na umewajua wanaume kwa muda mrefu, mara nyingi sana tena sana mwanamume hajawahi kutosheka na mwanamke mmoja . Kosa kubwa sana kwa bro ni kutokuijali familia au kutoitunza familia.
Ss km hutosheki kwa nini unaoa?
Utajiskiaje mkeo nae akiwa na side guy kwa kua tu humridhishi?.
 
Back
Top Bottom