Ukiona mwanamke anaikataa ndoa jua yamemfika hapa!

Pole ila wanawake munatabia ya kukurupuka hasa mkitamkiwa neno nakuoa, unaonekana una akili za kimaisha ila ulikengeuka ktk kupenda ilihali mwenzako alikuwa akitafuta mtu wa kumzalia tu watoto aitwe baba.
Usijali una uwezo mzuri wa kupambana naamini utafanikiwa.
Mkuu Kete Ngumu asante. Nashukuru pia kwa comment yako ya kibabe💣💣💥
 
Ubaya wa Mambo haya ya ndoa ukipata maelezo ya upande mmoja sio rahisi kujua n kweli upande unaotuhumiwa Kama unastahili tuhuma kweli....huenda Kuna mengi yanayomfanya mumeo kuwa hvyo nasisi sio rahisi kujua... anyway....Mungu akutangulie in ur new life as a single mom
 
Ni kweli mkuu lazima kuna mengi yaliyomfanya kuwa hivyo na sio rahisi kuyajua..... asante
 
kitu kimoja bado najiuliza....uliyaona toka ukiwa na mtoto 1,,,,,,ukaendelea kupanua hadi watoto 3,,,,bado akili yako haijakamilika......pole sana...ndoa ni changa la moto sana....najua umejifunza somo ila bado hujafaulu mtihani....pambana dada uliyataka mwenyewe......
 
Kweli wakati ule akili ilikua haijakamilika ila sasa imekamilika 100%
Kuhusu kupambana ondoa shaka maana mpambano mkubwa ulikua kukaa pembeni na nilishafaulu
 
ni somo na kwa wenzio pia.....barikiwa sana....ila asije akakurubuni tena.....wanaume tuko very smart....
 
Pole sana,angalia kinachokupa amani moyoni mwako.Kama unaweza kuishi mwenyewe na maisha yakasonga it is better you live alone kuliko unaishi na mtu ambaye anakupa stress na hana msaada kwako.
 
Dah pole sana ulipomuona anaanza mapichapicha usingeongeza mtoto wa pili.
Onyo: usirudiane nae usije kufa kabla ya siku zako,piga kazi lea wanao.
 
Pole sana,angalia kinachokupa amani moyoni mwako.Kama unaweza kuishi mwenyewe na maisha yakasonga it is better you live alone kuliko unaishi na mtu ambaye anakupa stress na hana msaada kwako.
Amani tele sasa
 
Back
Top Bottom