Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,833
Ili spika awe ameongea ni lazima awe kwenye joho lake, awe bungeni, kuwepo na kawa, maongezi yawekwe kwenye kumbukumbu za bunge.Wakati anakaribishwa alitambulika kama nani ni mwananchi wa kongwa au spika.
Kinyume na hapo kaongea Ndugai