Ukiona Mtu anashabikia Ubabe Wa CAG

Sasa ndugu uko mzima kweli cag hana chma anatetea masilahi ya watanzania wote,yaani masilahi ya taifa kwa ujumla sasa unatakaje?haki ya mungu watanzania sijui tunalaana gani mimi hata sikuelewi kabisa mtu wewe mimi ccm dam lakini sikuelewi ndugu yangu.
 
Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
 
Punguza mahaba
 
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
We kenge kila thread ukianzisha unakosea!!!...Uniona...ukiona...More...Mbowe!!!What is it for?Stop advertising your foolishness
 
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni

Sawa sina shaka pombe za weekend zinakunaniliu.

Kumbe hamtaki kuambiwa kuwa mnatukwibia?
Sasa imefika karibu 3.+trilion.
Muueni kama anawafanya msipore kwa uhuru
 
Mkuu leo ni siku yako maalumu ya kuvuna komenti?

Chukua na hii
 
Uko sahihi kabisa.
 
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
ww upo upande gani kwanza tujue
 
Michadema ni aibu tupu
Sawa sina shaka pombe za weekend zinakunaniliu.

Kumbe hamtaki kuambiwa kuwa mnatukwibia?
Sasa imefika karibu 3.+trilion.
Muueni kama anawafanya msipore kwa uhuru
 
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Na hiyo mijitu ndio hii HAPA
 
Swali zuri, ndiyo udhaifu wa Bunge umeanza Awamu hii baada wabunge dhaifu wa CCM kumchagua Spika dhaifu ambaye ni mbunge dhaifu fundi wa kupiga rungu wagombea wenzie kupata uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…