We nae..kumbe ulishikwa pabaya halafu husemi!...
Ni ishu ya kule Kericho nini?...Mambo kama hayo usiyafiche PM, lete huku hazarani tuyachambue!
I wish ungejua mtu unaeongea naye ni mpole kivipi!....huyo Preta mwenyewe mwanzoni alikuwa ananiogopa kama nanihiino, lakini sasa hivi kaniganda kama luba!
thx...kwa hilo kwa kweli nililifanikisha.....ni sisi wenyewe ndio huwa tunalegea wakati mwingine.....
dah dah dah! ushawahi kupigwa makonzi ya ulimi?
heheh mie mwenyewe nalog out muda si mrefu, mida za kunyemelea walevi waloanguka na kuondoka na wallet zao hizi......lol... Mie maamuzi nawaachie nyie maana hapa nilitoa mwongozo tu.... Mie ngoja nikajiunge na Sweetie saizi....
Kweli niece wangu mtiifu... I was like ngoja nicheck nakukuta umejaa....lol... Nakwambia baada ya dakika chache tu Mzee ata WISH ungeendelea kuwepo pale....lol...
Hivi nikikuita honey, utareact vipi? nambie kabla sjakwita usje ukaniazirishaniwekee kuku nimchinje
Hivi nikikuita honey, utareact vipi? nambie kabla sjakwita usje ukaniazirisha
heheh mie mwenyewe nalog out muda si mrefu, mida za kunyemelea walevi waloanguka na kuondoka na wallet zao hizi
Ujanja wote huo wallet hujapakaa super glue? Bill ikija unahesabia mumo humo mfukoni,lol! Kweli mjini hakuna mwenyeji!
Dah! hapa tayari kimelipuka, inabidi nilog out, kabla wapambe hawajashuhudianitavunja screen ya laptop yangu halafu nitakudai.
Dah! hapa tayari kimelipuka, inabidi nilog out, kabla wapambe hawajashuhudia
mkwe shkamooo
heheh King'asti bana! nilopombeka sio mimi bana, mimi naenda kupiga mpera mpera tu na nikiona mlevi kaanguka naondoka na wallet, hivi unazani hela ya cafe napata wapi?Ujanja wote huo wallet hujapakaa super glue? Bill ikija unahesabia mumo humo mfukoni,lol! Kweli mjini hakuna mwenyeji!
Dah! hapa tayari kimelipuka, inabidi nilog out, kabla wapambe hawajashuhudia
heheh King'asti bana! nilopombeka sio mimi bana, mimi naenda kupiga mpera mpera tu na nikiona mlevi kaanguka naondoka na wallet, hivi unazani hela ya cafe napata wapi?
Nakudeku tu jinsi ambavyo unacheza na wanaume! Ohooo!