Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Habari za mda huu wanajf!! Ni matumaini yangu mu wazima...!!
Natumai ni usiku tulivu kwenu hasa kwa wale wapendanao mliopo pamoja mda huu hata mliotenganishwa na umbali tu!! Wote ni wapenzi na mapenzi ni hisia zilizopo ndani yenu.
Leo ningependa kuongelea kitu kuridhika ndani ya mahusiano yenu. Napoongelea kuridhika nagusa sehemu nyingi na mbalimbali. Lakini muhimu ni hapa.....
Tunapoamua kuingia na kutulia katika mahusiano flani ni vyema kuridhika na mpenzi wako. Kuwa mke na mme ni hatua kubwa sana kimahusiano...
Ewe Mwanamke ridhika na mmeo...uwezo wake sio wa kuleta nyama kila siku,mboga saba saba kila mchana na usiku,kila style ya nywele,nguo,viatu usipitwe!! Kisa fulani anatembelea verrosa basi na we unataka!! na ilhali yeye mwenyewe hata baiskeli hana!
Jamani wapenzi,kumbuka huyo ni mmeo au ni mwanaume ulie na malengo nae...jitahidi kumuelewa mazingira yake na msome vizuri
Mwanaume haitaji kukwazwa kwa vitu vidogo vidogo,hata wakati mwingine kuwa mpole kupisha jambajamba lipite,hata kama unakwazika zuia hasira kwani wote ni binadamu, badala ya kupoteza mda mkibishana na kuumizana vichwa kwa ugomvi usio na maana ni bora ukasimama nyuma yake ukamsaidia unapohisi amekwama!! Pesa zinatafitwa mkishirikiana na mkaelewana mtafika mbali.
Mwanaume pia,nyinyi ni watu muhimu sana kwetu!!..mnapoamua kuwa na sisi sio siri mnafanya uamuzi wa busara sana hadi hatua ya kutuweka ndani!! Kwenu ntakugusia swala la ukweli na uwazi!! Wengine mnayakaribisha mazito wenyewe kwa kuwaonyesha wenzi wenu mna uwezo wa kuwafanyia makubwa wakati ukweli mnapumulia mipira!! Swala la ukweli zuri sana kukiwa na uelewa pia...
MME: mmh mke wangu.... leo sio siri hali ya mfuko wangu mbaya!! Hela iliyopo ni ya mkate tu!!
MKE: usijali baba watoto wangu,ntachemsha chai tu na mkate tutakula tutalala..
Kwa upendo na tabasamu...maisha yanakuwa mazuri,upendo,uaminifu,ukweli na uwazi,uvumilivu na mengine mengi.
Hakika hata mungu atawabariki.
Nawapenda wote na nawatakia mahusiano mema
Mzuri ila binafsi nshakataa kuridhika,
sasa mtu unaridhika na yeye anaridhika kuhangaika??
Hapana ikija wax nachukua alipe,nywele mpya brazilian hair nayo nataka,hapa namdai Range rover..
Anisamehe tu ila nimeshindwa kuridhika.
Mimi ninarafiki yangu ameoa kama miaka minne imepiatayaani anamuheshimu mke wake kupitiliza(sio kama zile za libwata hapana) kwa sababu anasema mke wake amemvumilia sana..Kuna tofauti kubwa san kati ya mwanamke na msichana!! wasichana bado wanawaza nikitoka kwa john nirukie kwa juma kisa kanunua gari jipya atakuwa na hela!! Wakati huyo john uliemuacha mda unaowaza kukimbilia kwa john ungetumia kumpa akili ya ziada juu ya maendeleo yenu!! Gari ni nini kama upendo wa kweli upo?! ...subira yavuta heri
Habari za mda huu wanajf!! Ni matumaini yangu mu wazima...!!
Natumai ni usiku tulivu kwenu hasa kwa wale wapendanao mliopo pamoja mda huu hata mliotenganishwa na umbali tu!! Wote ni wapenzi na mapenzi ni hisia zilizopo ndani yenu.
Leo ningependa kuongelea kitu kuridhika ndani ya mahusiano yenu. Napoongelea kuridhika nagusa sehemu nyingi na mbalimbali. Lakini muhimu ni hapa.....
Tunapoamua kuingia na kutulia katika mahusiano flani ni vyema kuridhika na mpenzi wako. Kuwa mke na mme ni hatua kubwa sana kimahusiano...
Ewe Mwanamke ridhika na mmeo...uwezo wake sio wa kuleta nyama kila siku,mboga saba saba kila mchana na usiku,kila style ya nywele,nguo,viatu usipitwe!! Kisa fulani anatembelea verrosa basi na we unataka!! na ilhali yeye mwenyewe hata baiskeli hana!
Jamani wapenzi,kumbuka huyo ni mmeo au ni mwanaume ulie na malengo nae...jitahidi kumuelewa mazingira yake na msome vizuri
Mwanaume haitaji kukwazwa kwa vitu vidogo vidogo,hata wakati mwingine kuwa mpole kupisha jambajamba lipite,hata kama unakwazika zuia hasira kwani wote ni binadamu, badala ya kupoteza mda mkibishana na kuumizana vichwa kwa ugomvi usio na maana ni bora ukasimama nyuma yake ukamsaidia unapohisi amekwama!! Pesa zinatafitwa mkishirikiana na mkaelewana mtafika mbali.
Mwanaume pia,nyinyi ni watu muhimu sana kwetu!!..mnapoamua kuwa na sisi sio siri mnafanya uamuzi wa busara sana hadi hatua ya kutuweka ndani!! Kwenu ntakugusia swala la ukweli na uwazi!! Wengine mnayakaribisha mazito wenyewe kwa kuwaonyesha wenzi wenu mna uwezo wa kuwafanyia makubwa wakati ukweli mnapumulia mipira!! Swala la ukweli zuri sana kukiwa na uelewa pia...
MME: mmh mke wangu.... leo sio siri hali ya mfuko wangu mbaya!! Hela iliyopo ni ya mkate tu!!
MKE: usijali baba watoto wangu,ntachemsha chai tu na mkate tutakula tutalala..
Kwa upendo na tabasamu...maisha yanakuwa mazuri,upendo,uaminifu,ukweli na uwazi,uvumilivu na mengine mengi.
Hakika hata mungu atawabariki.
Nawapenda wote na nawatakia mahusiano mema
Hivi ukidai mambo makubwa kwenye ndoa au mahusiano ndo unamfanya mtu achangamke auunamchanganya..? lakini weww ujiulize ulipotoka mlikuwa na uwezo wa hiyo range..? pia jiulize what are u bringing in the table kutengeneza mazingira ya kupatikana hizo nywele za kibrazili nk..? mwisho unatakiwa ujue ur definition of happyness..? uone kama mtu haitamsuit bora kumuacha tu kuenda kwa mtu anaeauit ur definition of happiness....ukipata nafasi angalia movie ya will smith inaitwa persuit for happiness ni nzuri sanaMzuri ila binafsi nshakataa kuridhika,
sasa mtu unaridhika na yeye anaridhika kuhangaika??
Hapana ikija wax nachukua alipe,nywele mpya brazilian hair nayo nataka,hapa namdai Range rover..
Anisamehe tu ila nimeshindwa kuridhika.
Hivi ukidai mambo makubwa kwenye ndoa au mahusiano ndo unamfanya mtu achangamke auunamchanganya..? lakini weww ujiulize ulipotoka mlikuwa na uwezo wa hiyo range..? pia jiulize what are u bringing in the table kutengeneza mazingira ya kupatikana hizo nywele za kibrazili nk..? mwisho unatakiwa ujue ur definition of happyness..? uone kama mtu haitamsuit bora kumuacha tu kuenda kwa mtu anaeauit ur definition of happiness....ukipata nafasi angalia movie ya will smith inaitwa persuit for happiness ni nzuri sana
Nashukuru Mom Fay na wewe pokea like kubwa kwa uzi ulioenda shule.Pokea like kubwa
Kuna tofauti kubwa san kati ya mwanamke na msichana!! wasichana bado wanawaza nikitoka kwa john nirukie kwa juma kisa kanunua gari jipya atakuwa na hela!! Wakati huyo john uliemuacha mda unaowaza kukimbilia kwa john ungetumia kumpa akili ya ziada juu ya maendeleo yenu!! Gari ni nini kama upendo wa kweli upo?! ...subira yavuta heri
Hivi ukidai mambo makubwa kwenye ndoa au mahusiano ndo unamfanya mtu achangamke auunamchanganya..? lakini weww ujiulize ulipotoka mlikuwa na uwezo wa hiyo range..? pia jiulize what are u bringing in the table kutengeneza mazingira ya kupatikana hizo nywele za kibrazili nk..? mwisho unatakiwa ujue ur definition of happyness..? uone kama mtu haitamsuit bora kumuacha tu kuenda kwa mtu anaeauit ur definition of happiness....ukipata nafasi angalia movie ya will smith inaitwa persuit for happiness ni nzuri sana
sure mkuu!unaweza ukaimagine dunia ingekua mahali salama pa kuishi kiasi gani kama tungefuata mfano wa Mom Fay,binafsi naomba kila siku Mola anijalie kuwa Mume classic kwa kweli!Nakuunga mkono sana mkuu..kaongea vitu adimu kuvisikia kutoka kwetu sisi vijana wa kisasa..ni somo zuri sana..
Vuta subira kipenzi changu Mom Fay, maisha yatajengwa na Mimi n Wewe. kama wababeli walivoujenga. ukuta. wao!!!!
Safari hii ni ndefu lkn nakuahidi via JF. THE LAST WILL TASTE. THE SWEETEST WORLD!!!
nzuri sana, ila kwa fomu wani b wa mapenzi
Mzuri ila binafsi nshakataa kuridhika,
sasa mtu unaridhika na yeye anaridhika kuhangaika??
Hapana ikija wax nachukua alipe,nywele mpya brazilian hair nayo nataka,hapa namdai Range rover..
Anisamehe tu ila nimeshindwa kuridhika.
Habari za mda huu wanaJF, ni matumaini yangu mu wazima. Natumai ni usiku tulivu kwenu hasa kwa wale wapendanao mliopo pamoja mda huu hata mliotenganishwa na umbali tu!! Wote ni wapenzi na mapenzi ni hisia zilizopo ndani yenu.
Leo ningependa kuongelea kitu kuridhika ndani ya mahusiano yenu. Napoongelea kuridhika nagusa sehemu nyingi na mbalimbali. Lakini muhimu ni hapa.
Tunapoamua kuingia na kutulia katika mahusiano flani ni vyema kuridhika na mpenzi wako. Kuwa mke na mme ni hatua kubwa sana kimahusiano.
Ewe Mwanamke ridhika na mmeo, uwezo wake sio wa kuleta nyama kila siku, mboga saba saba kila mchana na usiku, kila style ya nywele, nguo, viatu usipitwe!!
Kisa fulani anatembelea verrosa basi na we unataka!! na ilhali yeye mwenyewe hata baiskeli hana! Jamani wapenzi, kumbuka huyo ni mmeo au ni mwanaume ulie na malengo nae jitahidi kumuelewa mazingira yake na msome vizuri.
Mwanaume haitaji kukwazwa kwa vitu vidogo vidogo,hata wakati mwingine kuwa mpole kupisha jambajamba lipite, hata kama unakwazika zuia hasira kwani wote ni binadamu, badala ya kupoteza mda mkibishana na kuumizana vichwa kwa ugomvi usio na maana ni bora ukasimama nyuma yake ukamsaidia unapohisi amekwama!!
Pesa zinatafitwa mkishirikiana na mkaelewana mtafika mbali. Mwanaume pia ,nyinyi ni watu muhimu sana kwetu mnapoamua kuwa na sisi sio siri mnafanya uamuzi wa busara sana hadi hatua ya kutuweka ndani!!
Kwenu ntakugusia swala la ukweli na uwazi!! Wengine mnayakaribisha mazito wenyewe kwa kuwaonyesha wenzi wenu mna uwezo wa kuwafanyia makubwa wakati ukweli mnapumulia mipira.
Swala la ukweli zuri sana kukiwa na uelewa pia.
MME: mmh mke wangu leo sio siri hali ya mfuko wangu mbaya!! Hela iliyopo ni ya mkate tu!!
MKE: usijali baba watoto wangu, ntachemsha chai tu na mkate tutakula tutalala..
Kwa upendo na tabasamu...maisha yanakuwa mazuri,upendo,uaminifu,ukweli na uwazi,uvumilivu na mengine mengi. Hakika hata mungu atawabariki.
Nawapenda wote na nawatakia mahusiano mema
Mzuri ila binafsi nshakataa kuridhika,
sasa mtu unaridhika na yeye anaridhika kuhangaika??
Hapana ikija wax nachukua alipe,nywele mpya brazilian hair nayo nataka,hapa namdai Range rover..
Anisamehe tu ila nimeshindwa kuridhika.
Mmh..kama anataka range yeye anaweka nini mezani..yeye mwenyewe ameka kirange range au usistadu mwingi alafu anataka range...au she is step up like real strong woman with ideas and inputs to get that range..umeongea, kila haki ina wajibu, nadhani wenye macho wameelewa,