mambo ya watsap, tango, skype ndo yanaleta ufeki...
Saivi hata kujua kama wapendwa kweli sio rahisi...smfh!!
!
!
enzi hizo kufanya mapenzi wanaita kufanya matusi, teh teh teh teh nouma mno shhhhhh! ahhh! shhhhh! ah! shhhhh! aaaah!
Unalijua zanzibar kuliko kuna basi moja linaitwa bamita?
Msichana akiambiwa kufanya hivyo ni uchinvi na mvulana ikiwa hutakiwi na msichana anakuita mchinvi. Loh tumetoka kuzuri kweli!