Ukiona Hivi Unakumbuka nini??

Ukiona Hivi Unakumbuka nini??

tulifaidi wakati ule kwani hata mkimaliza interview yenu basi mtoto keshakata kucha zote kwa meno na aliposimama keshapafyagia kwa miguu!

hahahaha.....
kweli ilikuwa na raha yake....umenikumbusha mara yangu ya kwanza kutongoza, nilitokwa kijasho sitasahau..lol
 
hahahaha.....
kweli ilikuwa na raha yake....umenikumbusha mara yangu ya kwanza kutongoza, nilitokwa kijasho sitasahau..lol

Enzi zimepita, wakati ule kila kitu original,hata harufu ya umwali haikuingiliwa na manukato kama sasa hivi!
 
tulifaidi wakati ule kwani hata mkimaliza interview yenu basi mtoto keshakata kucha zote kwa meno na aliposimama keshapafyagia kwa miguu!

Unalijua zanzibar kuliko kuna basi moja linaitwa bamita?
 
!
!
si unajua tena, au unajiita halafu unasema pale pele pa jana unasepa.......na yeye kama home gozi gozi atafanya mchakato wa kuja ila atapita tu na mdogo wake unajua leo kimenuka

Ha ha ha..mkuu kweli ulipitia huko, lol..
Ukipita karibu na kwao unapiga kelele ili akusikie....
 
Enzi hizo ukitokea dem unaogopa akitangaza kwamba umemtokea au akienda kusema kwa babaako
 
Sometime ukishamuona unaahirisha kuomba mzigo hadi siku nyingine. Mnaisha kupiga stori zisizo eleweka.
 
Ahahahahah wewe umezidi hata kumpa muda mwenzio yaani wasubiria hapo hapo kama msimamizi wa mtihani😱😱😱😱

Yaani nilisubiri hapo hapo hadi nikapewa makavu live, si unamjua Mrembo by Nature yeye hamumunyi, ila siku ile alimaliza kucha....lol
 
Last edited by a moderator:
Mi wakati hata ku-do sijui nilimwandikiaga barua demu aje nataka nikamtom_e. Sujui hata nilisikiaga wapi, hata angekuja nisingejua hata cha kufanya. Akaja mi nikafurahi kishenzi kuwa leo ndio leo demu si kaja!. Si akapitiliza kwa mother akampa barua niliyomwandikia??? Maneno mazitoooo!! Yaani siji kusahau kilichonitokea.
 
Ha ha ha..
Hapo lazma bakora zilitembezwa...
Unakumbuka iulikuwa na umri gani ??
 
Natamani hizo enzi zingerudi sio sasa hivi vitu vingi ni fake....
 
Back
Top Bottom