Ukiona hivi, ujue usha disco kwenye moyo wake.

Ukiona hivi, ujue usha disco kwenye moyo wake.

Mkuu ka vp piga chini tu... ufanye ya maana, u got a great life ahead of you. Mwanamke hupaswi kumpa moyo wako jumla jumla utakuja kulia siku, ujitundike buree. Mwanamke wangu tunapendana sana but still nakaa nae kwa akili sanaaa. Mind on ma money, i trust non !!! Times have changed.

hahahahaha,kumbe Senior Boss tupo pamoja,ingawa unaipinga idea yangu ya kimyakimya
 
Last edited by a moderator:
sex_vs_time.gif
nimekukubali
 
Dah wengine hawajawahi hata kubadili wapenzi...hiyo hali hawaijui wanaisikia tu bombani, hii inatokeaga sana pale ambapo mioyo haijaguswa!
 
hahahahaha,kumbe Senior Boss tupo pamoja,ingawa unaipinga idea yangu ya kimyakimya

Hyo style ya kimya kimya naisoma sana....ukishaona mwenzako yuko hvyo design kama ame loose interest dawa yake na wewe kula ganzi na wala usiwe na tym nae kabsa. We kua kama vile haikuumizi kitu, you got nothing to loose. Be you and act as if she isn't of any significance in your life anymore. Trust me atakutafuta na atarudi tu. Lakini uki mnyenyekea sana anakuona boya na ndo atazidi kukuumiza kichwa.
 
Mwanzoni alikuwa akiamka anakusalimia vizuri,anakupigia simu,'Baby Umeamkaje jamani,umeniota??Nakupenda sana,karibu chai jamani,I missed u so much in my dreams jamani,umevaaje leo,wooow,Umependeza,una ratiba gani leo,si ntakuona baadae mpenzi kuna Muvi imetoka,utaniambia unatoka saa ngapi nije nikuchukue,Mwaaaaahhhh Mwaaah Mwaaahhh tena hubby ake'...Miezi mi2 ya mwanzo hiyo,Penzi lina Vibration kali kuliko Motorolla.
Baada ya miezi 6 akaacha kupiga Simu,anakutext tu Goodmorning Baby,Am on my way to Office.Laters!..imetoka hiyo,mpaka jioni tena
Baada ya Mwaka sasa,anaamka tu kama ameota mizimu,hasalimii wala nini mpaka umshtue kama taxi za Tandale Uzuri,na ukipata bahati anakutumia Meseji KAVU kuliko Chips..
Mpenzi wako kabisa,Baby ake,ambaye wewe unafeel ndo baba watoto wako ajaye au mama watoto ajaye na unamringishia sana mtaani na kwa mashosti, anaamka anatuma meseji,ukifungua Inbox unaona HONEY BOO BOO unafurahia kweli, unakuta meseji imeandikwa,
'HABARI' kamaliza hapo..Eti Hubby ake huyo....
Basi na wewe mjibu...ZA KIMATAIFA KUTOKA CHANNEL TEN!
Dalili za Penzi kufa au kuwa ICU limewekewa Dripu!Habari kwani mi Ufoo Saro!

OVER !!!

hahaha sasa siku hizi Ufoo Saro amekuwa 'source of data',reference aisee naona atatungiwa kitabu kama ilivyokuwa kwa Masogange a.k.a mamaa wa sembe.
 
Back
Top Bottom