Ukiona choo ndotoni usikitumie

Mkuu Mshana Jr habari za masiku!? Naomba kuuliza hivi Mtu ukiota unapambana na nyoka mweusi,tena yuko very aggressive,kila ukijaribu kumkwepa yeye bado anakuja kwa hasira Kama vile umechukua mayai yake, hiyo ndoto inamaana gani!?
Mmh hii definitely ni vita ya kiroho na kuna mtu/watu wanaojaribu kukudhuru ama kuna baya linalitaka kukutokea lakini kuna nguvu inakulinda
 
Mmh hii definitely ni vita ya kiroho na kuna mtu/watu wanaojaribu kukudhuru ama kuna baya linalitaka kukutokea lakini kuna nguvu inakulinda
Dah! Sasa unanishauri nifanyeje ili kuepukana na hayo majanga!?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…