Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,914
- 30,972
Pengine hujawahi wala kufikiria hili...
Nimeona kukunbushana kwa yalionikuta 2yrs ago..
Kama unampango wa kuomba mkopo bank usishangae kuanza kuombwa kwanza hela na wale wanaokusaidia upate mkopo...
Namaanisha wale wafanyakazi pale siotu kama wafanyakazi zaidi ya madalali na wengine wanaviwango vyao kabisaa.
Ukiomba million kumi wanakwambia chetu kadhaa usipotoa San aka kama tu chao wanakutana kujadili usishangae unaambiwa umepewa mil 2.75 vigezo avijakidhi ingawa ulikuwa upewe hiyo pesa.
Ni mazingira ambayo MH RAIS NA WAZIRI WA PESA WANAHITAJI KUREKEBISHA HILI JAMBO
Nowdays hata wale wanaoomba million tatu ama nne unaambiwa umpe lakimbili ama tatu uwii...unawaza mkopo wake au wako na mbona kwenye malipo tunalipa nahizolaki tatu ama mbili wanazotaka.
WAKUU WABANK MDA MUAFAKA KUKAA NA WAFANYAKAZI WENU KUNA UTARATIBU UNAENDELEA MSISHANGAE WAKAANZA KUWAWEKA NDANI WAFANYAKAZI WENU MMOJA MMOJA