Ukiolewa utaleta nini kwenye Meza ?

Ukiolewa utaleta nini kwenye Meza ?

Patrice Diounis

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
1,162
Reaction score
2,391
FB_IMG_17940569487242075.jpg

Kuwa Mkweli.
 
Najua ni utani ila sio swali zuri
Kila mmoja atimize wajibu wake na majukumu yake Kwa kadri mtavyopatana.
Kama mmepatana kipato Cha mwanamke kidogo afanye kazi na yeye kucontribjte aende.kama unaona kinatosha abaki.
Mwanamke hata akiwa mama wa nyumbani bado ana majukumu makubwa tu.
Kutochangia kipato isiwe sababu ya kumshusha thamani
 
Wanawake ni kundi ambalo kama wanaume tutaweka mgomo WA kuwapa pesa wanawake kwa siku moja watadharirika sana
 
Back
Top Bottom