Ukiolewa na Mzaramo lazima utaweza tu!!

Ukiolewa na Mzaramo lazima utaweza tu!!

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
dada wa kizungu baada ya kuolewa na mume mzaramo anasonga ugali wa muhogo wazaramo nooma ahh!!!!
 

Attachments

  • ugali.jpg
    ugali.jpg
    22.9 KB · Views: 390
anatumia moto wa aina gani? naona sufuria kaibana na miguu.
 
hapa naona anazuga tu. Kitu kishaepuliwa anafanya kupakua tu.
 
kwenye mapishi makuu ni wabaridi sana hawa
 
Back
Top Bottom