MZEE WA VOCHA
New Member
- Mar 3, 2016
- 2
- 0
Kazi kubwa ambayo ninafanya inahitaji intanet.
Nafanya sana utafiti, na ninasoma sana kwenye intanet.
Mara nyingi bando ninayotumia haikai wiki mbili.
naweka. inaisha. naweka tena. inaisha tena.
Kazi yangu nyingine ni masoko. Naongea sana na wateja.
Kutafuta biashara. Nahitaji simu yangu iwe na vocha masaa shirini na nne.
Na imewahi kutokea naongea na mteja..simu ikakata ghafla kisa vocha.
wangapi kati yenu huwa mnapata hili tatizo?
na umefanya nini mpaka sasa?