Ukinichiti nakuchiti

Ah wee mie napenda mwanamke wangu agegedwe huku naangalia pia. Vipi njoo basi tuwe pamoja mrembo
 

I like this!

At least I know the future is all here.
 
Sawa. We wewe itoe tu si ya kwako na FYI hakuna mwanamke anamkomoa mwanaume kwa kugawa sana mbususu.

Sasa endeleeni kushibishana hizi dhana za kugawa kisa mwanaume wako kambato sehemu
 
Sasa kama hamkomoleki kwanini huwa mnachukia, na nani aliyewaambia kila mwanamke anayechepuka anamlipizia au anamkomoa mume wake, wengine huchepuka sababu wamekosa upendo na wanateseka kwenye hayo mahusiano yao mlitaka wafanye nini
Nilireply kutokana na Quote yako kwamba "ukichiti na wewe unachitiwa" hii tafsiri rahisi kuwa unagawa on revenge ndio mana nikakwambia mtagawa Sana mbususu eti kisa tu mwanaume wako kacheat

Kwa hiyo kugawa mbususu ndio suluhu ya mahusiano yako kukosa upendo? (Je wewe kama wewe ndio suluhu yako hii?)
 
Yani mimi naleta hoja wewe unaleta habari za neno demu hizo ni dalili za kukosa hoja, mwanamke kuitwa demu ni kwa mujibu wa nani na huyo anayemuita demu anamuita hivo kama nani, vipi na mama yako akiitwa demu ni sahihi siyo
Wewe ni DEMU tu hutaki andamana
 
That's my girl
 
Wewe ni DEMU tu hutaki andamana
Demu ni slang tu ya kiswahili, kwa wenzetu wanaita dame...pia ni slang ya kiingereza. Dame ni mwanamke, so haina maana mbaya kama tunavyodhani.
 
Demu ni slang tu ya kiswahili, kwa wenzetu wanaita dame...pia ni slang ya kiingereza. Dame ni mwanamke, so haina maana mbaya kama tunavyodhani.
Van Dame ni DEMU?!
 
Zodwa unidai zawadi ya bando la week... umenifirahisha sana unavyoenda bampa to bampa na hawa jinsi ya kujimwambafy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…