makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,567
- 108,872
Usijali ipo siku utaelewa tu.Huwa nashindwa kuelewa logic iko wapi hapa
Mkuu kumbuka mwanaume anafanya na mwanamke na mwanamke anafanya na mwanaume yani tendo hilo ni la kutegemeana baina ya jinsia hizo
Sasa haiingii akilini eti tendo linalohusisha jinsia mbili jinsia moja ikilifanya hilo tendo isifiwe halafu nyingine ikilifanya hilo hilo tendo idharauliwe hilo haliwezekani
Kama huumii unalipiza kwannMtajua mwenyewe..
Hakunaga kuumia siku hzi
Yeah tumekubaliana anayekuumiza na wewe mtafutie mwenzie kimya kimya...Na kwa taarifaa yenuu huwaa tuna Jambo letuu dogo tu maisha yanaendelea...huwaa hatuumizi kichwaaa ni slow but sureeeπ π π
No hard feelings kwa kweli...Yeah tumekubaliana anayekuumiza na wewe mtafutie mwenzie kimya kimya...
Ajiulize huyu sku hizi viipii
Waambiee waeleweee...sisi tunasikilizaa tustory zaoo humuu..tunasema tuuu fainali uzeeni...huu mchezoo wala hauitaji hasiraaUzeeni Mwanamke anachakaa haraka ila mwanaume anachoka akili haraka kama aliendekeza ngono ujanani
Sasa endeleeni tu
Yaaan wapooo motooooπ π π π π kuchapiwaa Kuna umaaaaπ€£π€£ππ
Wanaume hawapendi kuchapiwa...unaona wanavyojipinda kuoppose ujumbe wa macvoice
Hahaha yule babu hata hajui siku....akiweka simu kwenye koti ataitafuta siku nzima wakat ipo mfukoni, pesa anadondosha hovyo...lakini ujana waje aliula ipasavyo...Waambiee waeleweee...sisi tunasikilizaa tustory zaoo humuu..tunasema tuuu fainali uzeeni...huu mchezoo wala hauitaji hasiraa