Ukiniacha Nakuloga

Ivi mzima wewe! huoni hata haya kuandika huu upuuzi wako. Heti kashamba kashamba! ningemjua uyo binti ningempeleka kwa babu yangu maisha yako KABATI LISINGE INUKA HILO mchafuzi mkubwa weeeeeeeeeee.

Nishapata jibu kumbe ndo mchezo wako enh nimekusoma
 
Nawapenda sana wanaume najua umuhimu wao ila kwa wasiojielewa ni zaidi ya chuki.

Unawapenda wanaume??? Wangapi kwa mtindo huo bas hata wewe unaonesh una ka element ka kua na mchepuko wa pembeni bishaaaaaa
 
Kaka usikurupuke we tulia, ndoa si lazima ukimuoa kwa stail hiyo hamtaishi kwa amani.jambo hili lilimtokea kaka yangu na akaoa siku hizi anajuta sana maana aliambiwa atalogwa.
 
Unamakosa mengu Mkuu maana wewe ulitakiwa usikubali kunyolewa uonekane ndo fashion yako!pili inamaana mlipokutana jana mkazimikia Mande Guest house au Pachoto Enzi za ujana wangu miaka hiyoooo!!Inamaana ukurudikwako na kubadili nguo wewe ukapitiliza mpaka mzigoni??We kiboko!Sasa nenda kaoe!
 
Baba Preta umeua
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa tatizo nilipi? Kama ni kuoa tembeza kadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…