Ukiniacha Nakuloga

Ukiniacha Nakuloga

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Mapenzi yananitia wazimu.

Haka kabinti kashambakashamba nilikavagaa ili tu kukata kiu, gemu ilikuwa kali na iliyojaa ufundi kwa timu zote mbili.

Kipindi cha mapumziko binti si ndio akachukua kifaa na kuanza kunipunguza nyasi, maana nilikuwa na bonge la msitu.

Tukarudi ulingoni kwa nguvu na kasi mpya kuliko ile ya mwanzoni.

Kuja kutahamaki ni asubuhi, nikajiandaa fasta na kuelekea kazini, nikamdrop yule binti mitaa jirani na kwao kisha tukaagana.
Nikiwa kwenye mapumziko ya chakula cha mchana nikapokea simu kutoka kwa yule binti, "ahhh nimezimika na game lako, sitaki kukupoteza, hakika nimepata mume wa ndoto zangu".

Nikamjibu kirahisi tu kwa lugha ya nyumba, sahau....it was just a one night stand.

Binti akang'aka, "Unasemaje?

Nikamjibu hatuwezi kuoana, yaani tumeonna hata mwezi hatuna halafu leo iwe ndoa?
Akanijibu.

"Kwa taarifa yako yale mav*******z yako ninayo, na ukiniacha nitakuroga"

Saa hizi ndio nazinduka najikuta niko hospitali na chupa yangu ya drip
 
Huyo mwanamke kabila gani? kama mfipa au mkaguru bora uoe tu.
 
haraka kimbilia kwa gwajima ukarekebishiwe...
 
na kweli anayo mavz yako, we si yalikushnda kunyoa? Yeye kakunyoa na kuyatunza anajua kazi yake furukuta sasa
 
Unaamini katika kurogwa katika zama hizi za sayansi na teknolgia!! Imani hizo ni za kijinga
 
  • Thanks
Reactions: mob
Ivi mzima wewe! huoni hata haya kuandika huu upuuzi wako. Heti kashamba kashamba! ningemjua uyo binti ningempeleka kwa babu yangu maisha yako KABATI LISINGE INUKA HILO mchafuzi mkubwa weeeeeeeeeee.
 
Mkuu nahisi labda umepata mshituko kutokana na taarifa alokupa huyo one night stand wako...
Asikutishe bwana anaeloga hajitambi wala hatoi vitisho anataka tu kukupima asikie jinsi gani uko serious naye au la...sasa na wewe hebu mrushe roho mwambie tangu siku mlipomaliza game jogoo hawiki ili akate tamaa..maana kinachomfanya akung'ang'anie mfanye aone hakipo...
Pia kumbuka kuchovya chovya kubaya..wengine samaki Wa sumu kaka...kama umri tayari jitahidi tu utafute mwenza wako maana hata maisha yenyewe siku hizi mafupi..!!
 
Mkono wako wa sweta tu huo. Haya bhana tulitee kadi za michango ya ndoa. Hapo umeingia sumbawanga sijui mtwara bado sijui umanyemani.
 
Back
Top Bottom