Ukimya wa Werema unamaanisha nini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimya wa Werema unamaanisha nini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mawazoyangu, Jan 17, 2011.

 1. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Ni wiki chache zimepita tangu huyu bwana awe anaongoza kwenye vichwa vya habari vya magazeti. Nakumbuka alisema kuwa hauna haja ya katiba mpya, na dowans lazima walipwe.
  Mkuu wa kaya alivyosema kuwa katiba mpya ni lazima akafyata mkia. Ni aibu kwake. Kwa nini asitokee hadharani na kusema kuwa anajiuzulu? kilichokuwa kinampa nguvu ya kuongea ule upuuzi ni kwa kuwa mkuu wa kaya alikaa kimya kwa muda mrefu. alikuwa anajikomba ili aonekane yupo upande wa mafisadi kwa kuwatetea
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ngereja kaenda canada kuweka mambo sawa akirudi ataongea upupu
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Si alisema katika hoja ya katiba amekuwa mwanafunzi wa mwisho darasani? Labda kadisco
   
 4. T

  Tofty JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  si alishatoa maoni yake 'binafsi'.....keshamaliza!
   
 5. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Anaona haaaya kafanywa vibaaaya.....Werema a.k.a kilema wa kichwa!
   
Loading...