Niko mikoani hata mimi sijui kinachoendelea INA maana haiendi tena kia na Mza?Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Hili limwewe litakuwa limelazwa pale Muhimbili kwani limekuja na magonjwa kibao. Likipata nafuu utajulishwa.Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Mkuu, hata RATIBA ya safari yake?Unataka kila siku upewe habari kwani hatuna kazi nyingine za kufanya?!!..kama unataka habari nenda kapande utazikuta huko
Ukiona kimya kimezidi ujue hapo ipo nchini IndiaWakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Ilikuwa ni ushamba Wetu tu.tumezoea Sasa si unajua mambo ya kimasikini?Wakuu Amani iwe nanyi
Sina nia ya kufanya uchochezi ila naomba kujuzwa kuhusu Safari za Dreamliner ya ATCL,pindi ilipoanza kupasua anga la Tanzania karibia kila siku tulikuwa tunajuzwa hata kuoneshwa video za ndani,Kwa takriban wiki tatu kumekuwa na ukimya wa hali ya juu ambao wengi unatupa mashaka kuhusu afya ya Mwewe wetu...
Je, Dreamliner ishaanza Safari za Mumbai ?
Hapana labda itakuwa ishaanza kwenda hukoKwamba imekamatwa ?
Mkuu tuombe radhi wewe sisi ni matajiri sana na very suuuni tutaitwa doonaa kantiiriiiIlikuwa ni ushamba Wetu tu.tumezoea Sasa si unajua mambo ya kimasikini?
Mwenye shida hufuata mgangaMkuu, hata RATIBA ya safari yake?