Duh pole sana mkuu kwa majibu magumu ya PSRSMimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY.
Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari na wengine wameshapata placements tayari.
Juzi niliamua kuwapigia Sekretarieti ya ajira kuuliza kuhusu ucheleweshaji wao kuita watu kwenye saili na kuwapa ushauri waweke kipengele cha EXPECTED DATE ya kufanya usaili kuliko kufanya vitu kama sio professionals nilijibiwa vibaya sina hamu😩😩
Mtaani pagumu😪😩😩
Kwani mkuu una uwakika ukisha itwa utapata hiyo kazi..?, then tambua pia kuitwa kwenye usahili haimaanishi kwamba ndio kupata kazi hapo kikubwa ni kumuomba mungu tu kwa kila hatua akufanyie wepesi ili siku moja muda wako ufikie kwenye kukamilisha ndoto zako basi lakini huitaji kufatilia namna hiyo zaid wataku panikisha tu hapo kutokana na majibu ulio pewa huko.Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY.
Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari na wengine wameshapata placements tayari.
Juzi niliamua kuwapigia Sekretarieti ya ajira kuuliza kuhusu ucheleweshaji wao kuita watu kwenye saili na kuwapa ushauri waweke kipengele cha EXPECTED DATE ya kufanya usaili kuliko kufanya vitu kama sio professionals nilijibiwa vibaya sina hamu😩😩
Mtaani pagumu😪😩😩
Ni Bora uitwe kuliko huo ukimya.. huyo mtao mada alichosema anamaanisha kabisa na kina umuhimu kimtindo.. But pole yake kwa kupewa Rotted wordsKwani mkuu una uwakika ukisha itwa utapata hiyo kazi..?, then tambua pia kuitwa kwenye usahili haimaanishi kwamba ndio kupata kazi hapo kikubwa ni kumuomba mungu tu kwa kila hatua akufanyie wepesi ili siku moja muda wako ufikie kwenye kukamilisha ndoto zako basi lakini huitaji kufatilia namna hiyo zaid wataku panikisha tu hapo kutokana na majibu ulio pewa huko.
Issue sio kupata,issue ni watoe ili watu tufanye na tuendelee na mishe zingine za life.kuyakalia hayo majina muda mrefu hivyo ndio inaleta speculations kuwa huenda wanachakachua.Kwani mkuu una uwakika ukisha itwa utapata hiyo kazi..?, then tambua pia kuitwa kwenye usahili haimaanishi kwamba ndio kupata kazi hapo kikubwa ni kumuomba mungu tu kwa kila hatua akufanyie wepesi ili siku moja muda wako ufikie kwenye kukamilisha ndoto zako basi lakini huitaji kufatilia namna hiyo zaid wataku panikisha tu hapo kutokana na majibu ulio pewa huko.
pole mkuuMimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY.
Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari na wengine wameshapata placements tayari.
Juzi niliamua kuwapigia Sekretarieti ya ajira kuuliza kuhusu ucheleweshaji wao kuita watu kwenye saili na kuwapa ushauri waweke kipengele cha EXPECTED DATE ya kufanya usaili kuliko kufanya vitu kama sio professionals nilijibiwa vibaya sina hamu😩😩
Mtaani pagumu😪😩😩
Mimi hata kama sitapata nafasi ila watapata wengine basi watoe majina, kuna haja gani ya kutangaza nafasi za kazi mapema?! Miezi mitano NAOT, HELSB, TRA na nafasi nyingine kibao bado..kama kuna upungufu wa wafanyakazi waongezewe ili mambo yaende harakaKwani mkuu una uwakika ukisha itwa utapata hiyo kazi..?, then tambua pia kuitwa kwenye usahili haimaanishi kwamba ndio kupata kazi hapo kikubwa ni kumuomba mungu tu kwa kila hatua akufanyie wepesi ili siku moja muda wako ufikie kwenye kukamilisha ndoto zako basi lakini huitaji kufatilia namna hiyo zaid wataku panikisha tu hapo kutokana na majibu ulio pewa huko.
Hapo kwenye kuita watu mapema ndio pana hitaji sala sana kwa job seekers maana mara nyingi alie shiba hawez kumjua mwenye njaa kwa changamoto anazo pitia mtaani na ndomana mtoa mada amepewa majibu ya ajabu sana huko.Ni Bora uitwe kuliko huo ukimya.. huyo mtao mada alichosema anamaanisha kabisa na kina umuhimu kimtindo.. But pole yake kwa kupewa Rotted words
Issue sio kupata,issue ni watoe ili watu tufanye na tuendelee na mishe zingine za life.kuyakalia hayo majina muda mrefu hivyo ndio inaleta speculations kuwa huenda wanachakachua.
Ni kweli mkuu upo sahihi kwa upande huo pia, maana kimya kingi kina mambo mengi.Issue sio kupata,issue ni watoe ili watu tufanye na tuendelee na mishe zingine za life.kuyakalia hayo majina muda mrefu hivyo ndio inaleta speculations kuwa huenda wanachakachua.