Wakati professa Safari anaingia chadema na hatimaye kupewa umakamu mwenyekiti tuliwasikia vijana wa bavicha wakisema huyu atakuwa mgombea mwenza wa Slaa.
Baada ya mafuriko ya ngawira kuikumba chadema naiona ndoto ya msomi huyu kuyeyuka ghafla na haonekani kama kiongozi ndani ya chadema.
Wewe gamba bado unaweweseka na chadema tu lowasa ndiye rais anayesubiri kuapishwaWakati professa Safari anaingia chadema na hatimaye kupewa umakamu mwenyekiti tuliwasikia vijana wa bavicha wakisema huyu atakuwa mgombea mwenza wa Slaa.
Baada ya mafuriko ya ngawira kuikumba chadema naiona ndoto ya msomi huyu kuyeyuka ghafla na haonekani kama kiongozi ndani ya chadema.
Ufisadi umefunika ndoto zake.
Juu ni Mbeya na ya chini ni Dar Lowassa
Jumanne iliyopita alikuwa EATV akiwachachafya ccm.umeathirika na Tbcccm.