barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Wenye akili wanatumia akili kutathmini ukimya wao.Achaneni na chadema,chadema chama kubwa.
Nyie mnataka waongee wote ili mupate weakness zao?
Mnajua waongea wote,ni rahisi kuwapangia mashambulizi kiurahisi,sasa mnawakosa mnawachokonoa waongee,hamuwapati sasa
Chadema ina hazina kubwa ya watu wenye upeo,hamutuwezi kutuingiza mkenge hata siku moja
Kwa hiyoo? Mmepata jibu au bado ni umbea umbea tuu??Wenye akili wanatumia akili kutathmini ukimya wao.
Mkuu Chabusa, hivyo smartness upstairs kwa JJMnyika ni fact na haina mjadala issue ni ukimya wake wa sasa.Kwanini mnajaribu kuangalia upande mmoja tu, na kuacha kabisa kuangazia changamoto ambazo Mnyika binafsi amekabiliana nazo katika kipindi hiki kama binadamu, ambazo hazihusiani na siasa? Mkuu Pasco kwanini unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa Mnyika? Kwamba mtu smart upstairs anaweza kufuata mtu ndani ya chama, siyo? Mzee Kinana yuko kimya sana tangu ujio wa JPM, kwa hiyo tuwatazame Mnyika na Kinana kama wanaotatizwa na jambo linalofanana, siyo?
Watufute nchi yao ya kwenda kuongelea ila siohapa kwa mzee wa sijaribiwi.Hivi hata huko Ccm nani anaongea sasa hivi ?! Kunya anye kuku akinya bata ? Wabunge wote wamewekwa kapuni
mnyika unamuua ukanda , udini na usukuma. hawezi kuikosoa serikali hii kwa kuwa ni mkatoliki mwenzake, msukuma mwenzake na wote wanatoka kanda moja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bunge haliko live ndio maana haongei, si unajua anafanya mambo kwa kuonekana
Kina ukubwa gani wewe, wakati wapiga dili hao...!!Anafanya kazi tuliyomtuma sisi wapiga kura wake, au unataka afanye kazi kupitia vyombo vya habari kama walivyo mavuvuzela wa chama chakavu?
Kwa wale tuliozoea michango yake akiwa bungeni tunamiss sana. Nikipindi kigumu sana kwake na anashindwa kuyasema yale anayoyaamini.Kiukweli kabisa this guy is very smart upstairs. It's only kwa sababu Dr. Slaa just gave in na kunyoosha mikono ku surrender mapambano, lakini anaendelea kupambana, Mnyika would have been along him, bega kwa bega.
Sometimes politics is just a game, a very dirty one.
Pasco
ile mikopo aliowaahidi ametoaWapo mdee anatutembelea sana huku jimbon kwake
Omera Othiambo, hili jambo nimelipigia kelele sana huko nyuma. Kabla hatujaanza mfumo wa vyama vingi, tulikuwa na mfumo wa Chama kushika hatamu za serikali na Bunge, partly supremacy. Tulipoingia vyama vingi, mfumo ni parliamentary supremacy lakini katiba inauendeleza udikiteta ule ule wa chama kushika hatamu kwa kulazimisha wagombea lazima wadhaminiwe na vyama vya siasa. Kihalali, baada ya mgombea kudhsminiwa na chama na kupitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa mgombea, mkataba wake na chama cha siasa ulipaswa uishie hapa. Mgombea huyo akiishachaguliwa anakuwa sio mbunge au Diwani au rais wa kile chama chake, anakuwa ni mtumishi wa watu, mtumishi wa Umma. Chama hakina mamlaka ya kumfuta kazi mtumishi wa watu.Omera Pasco natamani Tz yenye katiba nzuri isiyowafunga waliochaguliwa kwa vyama vyao kama tunavyoona ktk nchi za wenzetu Rais, Mbunge & Diwani anaweza kusimama dhidi ya chama chake na asipoteze haki yake. Tumeona kina McCain wakiwa dhidi ya mgombea wao Mr Trump na hawatishwi na vyama vyao.
Leo hapa kwetu kuna wabunge, madiwani na hata Rais wamekuwa watumwa kwa vyama vyao hata kama matendo yao ni kinyume na wananchi.
Kama si misimamo ya vyama tungepata katiba mpya na nzuri, na hata bunge letu lingekuwa na tija.
Watz tuuache Unafki tudai katiba bora ya wananchi itakayotuweka huru. Si haya mambo ya kufia vyama.
Mnyika ndani ya CCM angeshapotea, ndani ya kijani kama huna referee ni ngumu sana kuchomoza. Jamani Ben Sitta amepata ushindi Kinondoni.Huyu dogo mnyika mi naona anafit sasa kwenye hii ccm mpya ,
Kule aliko amepotea tu kwa sasa .huyo nafanya mpango wa kumuhamisha huko aliko namtafutia nafasi ya winga pale mbele .awe anasaidia kuleta mpira karibu na goli la watani zangu
Sahihi kabisaKwanini mnajaribu kuangalia upande mmoja tu, na kuacha kabisa kuangazia changamoto ambazo Mnyika binafsi amekabiliana nazo katika kipindi hiki kama binadamu, ambazo hazihusiani na siasa? Mkuu Pasco kwanini unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa Mnyika? Kwamba mtu smart upstairs anaweza kufuata mtu ndani ya chama, siyo? Mzee Kinana yuko kimya sana tangu ujio wa JPM, kwa hiyo tuwatazame Mnyika na Kinana kama wanaotatizwa na jambo linalofanana, siyo?