MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 560
- 320
Na Kamanda Mdee!! Tangia ujio wa bwana mkubwa, wawili hawa wamejiziba midimo. Lakini huo ndio uungwana manake wangekuwa vigeugeu kama wengine tuliowaona.Mnyika enzi za Dr.Slaa,alikuwa mzungumzaji sana na mjenga hoja mzuri..Lakini kwa sasa mnyika yuko kimya sana,sijajua sababu nini??ukimya huu unasababu yake!!!
Wapo mdee anatutembelea sana huku jimbon kwakeNa Kamanda Mdee!! Tangia ujio wa bwana mkubwa, wawili hawa wamejiziba midimo. Lakini huo ndio uungwana manake wangekuwa vigeugeu kama wengine tuliowaona.
Kama Lisu, yeye kila kitu anashangilia ili mradi tu amefanya Mwenyekiti...kwa vyovyote kwa sasa ndiye atakuwa kipenzi wa Mwenyekiti.Na Kamanda Mdee!! Tangia ujio wa bwana mkubwa, wawili hawa wamejiziba midimo. Lakini huo ndio uungwana manake wangekuwa vigeugeu kama wengine tuliowaona.
Yaani kama tu sio sheria inamfunga, kwamba akijitoa anapoteza na ulaji (na kama tunavyojua Wanasiasa wetu hawa wa siku hizi ni ulaji kwanza mengine baadae)...siku nyingi John angekuwa ACT.Anachofanya JJ Mnyika ndivyo inavyotakiwa kufanywa kwenye kitu kinachoitwa "a collective responsibility", usipokubaliana ni ama you speak out and fall out, or you keep quiet na ku shut up.
Niliwazungumza watu hao hapa
Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!
Pasco
Mdee hapendi ujinga. Naona anapambana na yule diwani aliyeteuliwa kugombea Umeya KinondoniWapo mdee anatutembelea sana huku jimbon kwake
Huyu dogo mnyika mi naona anafit sasa kwenye hii ccm mpya ,Anachofanya JJ Mnyika ndivyo inavyotakiwa kufanywa kwenye kitu kinachoitwa "a collective responsibility", usipokubaliana ni ama you speak out and fall out, or you keep quiet na ku shut up.
Niliwazungumza watu hao hapa
Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!
Pasco
Naona Mnyika anajielewa, hiyo ndiyo principle ya administrative law: collective responsibility.Anachofanya JJ Mnyika ndivyo inavyotakiwa kufanywa kwenye kitu kinachoitwa "a collective responsibility", usipokubaliana ni ama you speak out and fall out, or you keep quiet na ku shut up.
Niliwazungumza watu hao hapa
Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!
Pasco
Kiukweli kabisa this guy is very smart upstairs. It's only kwa sababu Dr. Slaa just gave in na kunyoosha mikono ku surrender mapambano, lakini anaendelea kupambana, Mnyika would have been along him, bega kwa bega.Naona Mnyika anajielewa, hiyo ndiyo principle ya administrative law: collective responsibility.
Jamani mie niliwahi kusema huko nyuma kuwa mnyika anaumwa,amepata tatizo la akili na anatibiwa kwa siri siri,haya nayasema tena muelewe hafanyi makusudiMnyika enzi za Dr.Slaa,alikuwa mzungumzaji sana na mjenga hoja mzuri..Lakini kwa sasa mnyika yuko kimya sana,sijajua sababu nini??ukimya huu unasababu yake!!!
Mnyika, Mdee na pia yule dogo wa Arumeru wana jambo hawalikubali.Mnyika enzi za Dr.Slaa,alikuwa mzungumzaji sana na mjenga hoja mzuri..Lakini kwa sasa mnyika yuko kimya sana,sijajua sababu nini??ukimya huu unasababu yake!!!
Hawajasusa majukumu yao, ila hawaongei kama ilivyokuwa kabla ya gia kubadilishwa angani.Wapo mdee anatutembelea sana huku jimbon kwake
Hana tena madaraka madaraka yako kwa mamvi tuMnyika enzi za Dr.Slaa,alikuwa mzungumzaji sana na mjenga hoja mzuri..Lakini kwa sasa mnyika yuko kimya sana,sijajua sababu nini??ukimya huu unasababu yake!!!