Ukimya wa Mke wa Magufuli unatia shaka

Ukimya wa Mke wa Magufuli unatia shaka

Mumewe kichwa cha chini kinafanya kazi zaidi kuliko kichwa cha juu
 
Jamii Forums yaani ni kucheka hadi mbavu zangu zinauma. Hizi "comments" za watu mimi zinanitia wazimu kwa kucheka.
 
hushangai magu kwanin alimteua Samiah ugombea "mwenza"

changanya na zako mkuu
 
Jinsi tunavyokaribia machinjoni Magu anazidi kuonekana hovyo sana
 
Mke wako haonekani na hashiriki kampeni za kukunadi kama ilivyo kwa mke wa Lowassa.Kisiasa hii inaathiri usitawi wako na Chama kiujumla.Inanisikitisha Sana kuona mke wa Lowassa akitafuta ushawishi kwa wanawake wenzake ili wampigie kura Lowassa usiku na mchana wewe mke wa Magufuli uko kimya na huonekani kabisa,hebu jitokeze hali hii si nzuri kwa Magufuli na CCM
 
Huyo mama ana yake moyoni kuna hbr iliandikwa hapa japo kimafumbo fumbo mzee wa pushapu ni mnyanyasaji sana, anayomfanyia mkewe ingekua mgombea wa UKAWA ndie anaefanya hivyo ulimwengu wote ungejua.
 
peopleeeeeeez...
 

Attachments

  • 1443681453080.jpg
    1443681453080.jpg
    116.4 KB · Views: 159
Mumewe kichwa cha chini kinafanya kazi zaidi kuliko kichwa cha juu

Tehe tehee tehee miss mbeya kwamba jamaa ile head nyingine iko active kisawa sawa. Wanaume sie tunashida na hivi vichwa vyetu.
 
Back
Top Bottom